Picha 8: CRDB, POLISI SIMIYU WALIVYOONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI SIMIYU.

Kamishina Msaidizi wa Polisi Mkoa wa Simiyu Boniventura Mushongi, akiwaongoza wananchi wa Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu zoezi la upandaji miti kando kando ya Barabara kuu ya Bariadi - Lamadi, miti hiyo iliyopandwa ni 60 ambayo imetolewa na benki ya CRDB tawi la Bariadi.

Kamishina Msaidizi wa Polisi Mkoa wa Simiyu, akiwa pamoja na viongozi wa halmashauri ya mji wa Bariadi, pamoja na Benki ya CRDB tawi la Bariadi katika zoezi la upandaji miti kando kando ya Barabara kuu ya Bariadi - Lamadi, miti hiyo iliyopandwa ni 60 ambayo imetolewa na benki ya CRDB tawi la Bariadi.

 Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Bariadi Mathias Mkubo akipanda mti, wakati wazoezi la upandaji miti kando kando ya Barabara kuu ya Bariadi - Lamadi, miti hiyo iliyopandwa ni 60 ambayo imetolewa na benki ya CRDB tawi la Bariadi.

Meneja wa Benki Tawi la Bariadi Samwel Kishosha akipanda mti, wakati wa zoezi la upandaji miti kando kando ya Barabara kuu ya Bariadi - Lamadi, miti hiyo iliyopandwa ni 60 ambayo imetolewa na benki ya CRDB tawi la Bariadi.

Kamishina Msaidizi wa Polisi Mkoa wa Simiyu Boniventura Mushongi, akipanda mti, wakati wazoezi la upandaji miti kando kando ya Barabara kuu ya Bariadi - Lamadi, miti hiyo iliyopandwa ni 60 ambayo imetolewa na benki ya CRDB tawi la Bariadi.


Askari wakiwa miti kwa ajili ya kupanda katika zoezi hilo.

Meneja wa Benki Tawi la Bariadi Samwel Kishoshaakiongea na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa zoezi la upandaji miti kando kando ya Barabara kuu ya Bariadi - Lamadi, miti hiyo iliyopandwa ni 60 ambayo imetolewa na benki ya CRDB tawi la Bariadi.

Meneja wa Benki Tawi la Bariadi Samwel Kishoshaakiongea na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa zoezi la upandaji miti kando kando ya Barabara kuu ya Bariadi - Lamadi, miti hiyo iliyopandwa ni 60 ambayo imetolewa na benki ya CRDB tawi la Bariadi.

Habari kuu Bariadi ni zoezi la kupanda miti 60 iliyotolewa na Benki ya CRDB tawi la Bariadi, ambayo imepandwa kando kando ya Barabara kuu ya Bariadi - Lamadi, lengo likiwa kutunza mazingira.

Meneja wa benki tawi la Bariadi Samwel Kishosha alisema kuwa lengo la zoezi hilo ni kufanya mazingira ya mkoa wa Simiyu kuwa ya kijani, huku akitoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kupanda miti katika maeneo yao ya makazi pamoja na kazi.

Alisema hali hiyo ni moja ya njia kuu za kupambana na changamoto ya ukame katika mkoa huo, mabadiliko ya tabia nchi, ikiwa pamoja na kupunguza joto ukaa.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Bariadi Mathias Mkubo aliwashukuru benki ya CRDB huku akieleza kuwa atatoa ushirikiano miti hiyo kutunzwa.

Akiongoza zoezi hilo Kamishena Msaidizi wa polisi mkoani hapa Boniventure Mushongi ameishauri jamii kuacha tabia ya kutupa hovyo chupa za maji na mifuko ya plastiki.
Previous
Next Post »