Picha 7: Kinachoendelea siku ya uhuru wa vyombo vya habari Simiyu.

Mkuu wa wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Seif Shekilage akiongea na wadau wa habari katika wilaya hiyo wakati wa siku uhuru wa vyombo vya habari kimkoa iliyoazimishwa wilayani humo.

Mkuu wa wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Seif Shekilage kiangalia bango lenye habari mbalimbali zilizochapishwa kwenye magazeti mbalimbali na waandishi wa habari mkoa wa Simiyu. 

Wadau wakiendelea na kongamano, katika ukumbi wa halmashauri ya maswa.Shekhe wa wilaya ya Maswa Issa Elias akichangia mada.
Previous
Next Post »