Picha 8: KILICHOJIRI TAMASHA LA PASAKA SIMIYU.

Mamia ya wananchi wa Mji wa Bariadi na Mkoa wa Simiyu wakimsifu Mungu, wakati wa Tamasha kubwa la Pasaka lilofanyika katika uwanja wa halmashauri, likiwa tamasha la kwanza kufanyika mkoani humo tangu kuanzishwa kwa mkoa wa Simiyu mwaka 2012.

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Jesca Holela akitumbuiza wakati waTamasha Kubwa la Pasaka lilofanyika katika uwanja wa halmashauri, likiwa tamasha la kwanza kufanyika mkoani humo tangu kuanzishwa kwa mkoa wa Simiyu mwaka 2012.

Add caption
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Christina Shusho akitumbuiza wakati waTamasha Kubwa la Pasaka lilofanyika katika uwanja wa halmashauri, likiwa tamasha la kwanza kufanyika mkoani humo tangu kuanzishwa kwa mkoa wa Simiyu mwaka 2012.

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Upendo Nkone akitumbuiza wakati waTamasha Kubwa la Pasaka lilofanyika katika uwanja wa halmashauri, likiwa tamasha la kwanza kufanyika mkoani humo tangu kuanzishwa kwa mkoa wa Simiyu mwaka 2012.

Mamia ya wananchi wa Mji wa Bariadi na Mkoa wa Simiyu wakimsifu Mungu, wakati wa Tamasha kubwa la Pasaka lilofanyika katika uwanja wa halmashauri, likiwa tamasha la kwanza kufanyika mkoani humo tangu kuanzishwa kwa mkoa wa Simiyu mwaka 2012.

Mamia ya wananchi wa Mji wa Bariadi na Mkoa wa Simiyu wakimsifu Mungu, wakati wa Tamasha kubwa la Pasaka lilofanyika katika uwanja wa halmashauri, likiwa tamasha la kwanza kufanyika mkoani humo tangu kuanzishwa kwa mkoa wa Simiyu mwaka 2012.

Mamia ya wananchi wa Mji wa Bariadi na Mkoa wa Simiyu wakiimba Mungu, wakati wa Tamasha kubwa la Pasaka lilofanyika katika uwanja wa halmashauri, likiwa tamasha la kwanza kufanyika mkoani humo tangu kuanzishwa kwa mkoa wa Simiyu mwaka 2012.

Story kubwa kutoka Mkoani Simiyu ni Tamasha la Pasaka linaloandaliwa na Msama Promotion kutoka Jijini Dar es salaam.

Kwa mara ya kwanza Wakazi wa Mkoa huo hususani mji wa Bariadi, leo wameshuhudia Tamasha hilo likifanyika katika eneo hilo, ambapo mammia ya wananchi walihudhuria katika uwanja wa halmashauri.

Wananchi hao walisema kuwa wameushukuru uongozi wa Msama kwa kuwaletea Tamasha hilo, huku wakimuomba kuendelea kuleta tamasha hilo mkoani hapo.

Wananchi hao walisema kuwa kuletwa kwa tamasha hilo, kunasababisha watu kumsifu na kumwabudu Mwenyezi mungu, huku wakiomba tamasha hilo kupelekwa katika maeneo ya wilaya mkoani hapa.

Mgeni rasmi katika Tamasha hilo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka ambaye aliwakilishwa na Mkuu wa wilaya ya Bariadi Festo Kiswaga, ambaye alipongeza uongozi wa Msama kwa kuleta tamasha hilo kwa mara ya kwanza mkoani humo.

Kiswaga alisema kuwa kuletwa kwa tamasha hilo kumeonyesha kuwa wakazi wa mkoa wa Simiyu asilimia kubwa ya watu wanaomtegemea mungu na kumsifu.
Previous
Next Post »